UNLOCKING GREATNESS
Kuna matarajio kwamba mwanawake hatakiwa kuenenda na kujiweka kwa namna fulani kwasababu anahitaji kuonekana anafaa kwa ndoa.
Yes, women love compliments but do not neglect their intellect.
Kusherekea umbo la mwanamke pekee yake, ni kama kusherekea mboga za majani kwa sababu ni za kijani. Thamani ya mboga za majani ipo kwenye virutubisho zaidi na sio kwenye rangi au umbo
There is an expectation that women need to behave and look in a certain way because they need to be compatible for marriage.
These roles may appear instagramable but they’re typical responsibilities and duties.
Usiishi ukiisubiri hatima yako. Ishi kuikamilisha hatima yako kila siku.
Have a WordPress.com account? Log in now.